Friday, November 7, 2008

FIESTA JIRAMBE 2008... NA KAT DELUNA
ANAITWA KATHLEEN EMPERATRIZ DE LUNA a.k.a KAT DELUNA,HUYU MREMBO ANATARAJIA KUTUA SAA 4 NITE PALE KWENYE UWANJA WA MWL JK NYERERE, ATAJIRAMBAAA NASI HAPO KESHO AKIWA NA KUNDI LAKE LENYE WATU 11.HAYA MA BIBI NA MA BWANA 2KAJIRAMBEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE NA KAT WEEK END HIII.UKIKOSA USIMLAUMU MTU.


No comments: