Tuesday, November 4, 2008

MNAMKUMBUKA HUYU DOGO?


WADAU Friday, April 11, 2008 NILIMBANDIKA HUYU DOGO HAPA BLOGUNI KWENYE HABARI YENYE KICHWA "MODO WA KESHO HUYU ANAFAA AU INAKAAJE WADAU?? ukitaka kujua nini niliandika bofya kwenye hiki kichwa cha habari!

Dogo anaendeleza libeneke kama kawa, ni full mauzo au mnasemaje?

waukweli,

No comments: