Monday, January 12, 2009

TOTAL KNOCKOUT & RIHANNA.


Unajua ukiwa modo lazima mambo mazuri uyafanye,Muone Teddy Kalonga binti wa ki tz na bibie Rihanna wa uko ughaibuni walivyochora kucha zao ili mradi tu kupendeza.Nimependa sana fashions hiyo ya kucha hongereni na mmependeza sana warembo.

1 comment:

Anonymous said...

Wamewamba!!!