HELLO WADAU WA BLOG HII NINGEPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWAJULISHA KUWA HOST WA BLOG HII WAUKWELI ANAUMWA NA ANAHITAJI MAOMBEZI YENU KWANI ALIFANYIWA OPERATION YA KICHWA NA TAARIFA ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA AMEPOTEZA UWEZO WAKE WAKUONA!
NITAFANYA JITIHADA ZAKWENDA KUMUONA NA KUJA KURIPOTI TAARIFA KAMILI KUHUSIANA NA HILI!
ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI!
NDIMI,
Brazatk wa www.mwakilaga.blogspot.com
Email: brazatk@yahoo.com
5 comments:
Dah Mpe pole sana na tunamuombea kwa
Mungu apate kupona mapema, kwa kuwa hatutaweza kufika kumjulia hali tunaomba izifikishe salam zetu, Mungu atamsaidia aweze kupona mapema Amin
Oooh no jamani mungu wangu!Mungu amsaidie jamani tuko pamoja nae ktk maombezi
hee jamani, mungu hamuongoze my sisy apate nafuu kabisa, hebu braza tk tupe hata mawasiliano ya kwao tujue hali yake mpendwa wetu, jamani tatizo nini hasa mpaka afanyiwe operesion kubwa hivyo
OOOh Mungu amsaidie katika kipindi hiki kigumu alichonacho na watu wake wa karibu wote watiwe moyo...
GET WELL SOON
jamani
ninawaombea, nimefungua leo tu ndio naikuta hiyo post poleni sana Mungu na ampe nguvu
Post a Comment