wewe dada unavituko sijapata kuona, hongera mwaya
heheheeeeeeeeee..wewe umeiba jeshi la wapi..mlendi rova huo..??hehe..umeniacha hoi kinoma wangu..
hahahahahahahah Wajina leo umenivunja mbavu sana...wakikuona watalii utapata dili kibao kuwapeleka mbugani wanapenda sana magari hayo!
Jamani Matty hili Gari nimenunua juzi ata sijakaa nalo sana,Nitaenda kupata dili Ngorongoro.We totoo,Sijaiba bwana nimeuziwa na kaka mmoja anaitwa David sasa sijui yeye ameiba ahahaha..,Ila sijawai kamatwa na Trafic.WAUKWELI.
Kuna mtu kanijibia hapo juu,Haya yote heri ili mradi usitukane.Totoo sijaiba nimenunua bwana wananitambua jijini,Ukija Dar ntakupa lifti kima wangu. Matty wajina usijali sina muda mrefu ntalipeleka ngorongoro nikapate mapesa.Si unajua vitu kama hivi ni dili kule.WAUKWELI.
Mbona naona kuna mdau ameitwa Kima hapa? Au ndiyo namna mpya ya kuita watu huko Bongo sikuhizi?
Post a Comment
6 comments:
wewe dada unavituko sijapata kuona, hongera mwaya
heheheeeeeeeeee..wewe umeiba jeshi la wapi..mlendi rova huo..??hehe..umeniacha hoi kinoma wangu..
hahahahahahahah Wajina leo umenivunja mbavu sana...wakikuona watalii utapata dili kibao kuwapeleka mbugani wanapenda sana magari hayo!
Jamani Matty hili Gari nimenunua juzi ata sijakaa nalo sana,Nitaenda kupata dili Ngorongoro.
We totoo,Sijaiba bwana nimeuziwa na kaka mmoja anaitwa David sasa sijui yeye ameiba ahahaha..,Ila sijawai kamatwa na Trafic.
WAUKWELI.
Kuna mtu kanijibia hapo juu,Haya yote heri ili mradi usitukane.
Totoo sijaiba nimenunua bwana wananitambua jijini,Ukija Dar ntakupa lifti kima wangu.
Matty wajina usijali sina muda mrefu ntalipeleka ngorongoro nikapate mapesa.Si unajua vitu kama hivi ni dili kule.
WAUKWELI.
Mbona naona kuna mdau ameitwa Kima hapa? Au ndiyo namna mpya ya kuita watu huko Bongo sikuhizi?
Post a Comment